open admiSsions
We continue to accept admission applications from students. We will be delighted to accept your child and provide him or her the best start possible in life. To obtain admission information, kindly click the apply button.
LULA ORPHAN PROGRAM SUNFLOWER PRE AND PRIMARY SCHOOL
P.O.BOX 151, MAZOMBE- IRINGA, TANZANIA.
Email:admin@ioptanzania.org Mobile: 0752525622, 0767337763
Website: www.ioptanzania.org E-mail Address. alicengimbudzi@gmail.com
FOMU YA KUJIUNGA : REG NO: EM 17517
A. MAHALI SHULE ILIPO.
Shule ya Awali na Msingi Sunflower ni shule inayomilikiwa na shirika lisilokuwa la kiserikali la Ilula Orphan Program (IOP). Shule imesajiliwa kwa namba EM 17517 kama shule ya BWENI na KUTWA. Shule ipo mji mdogo wa Ilula, tarafa ya Mazombe, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Shule Inapatikana umbali wa KM 1.5 kutoka kwenye barabara kuu ya Tanzania – Zambia. Shule inatoa elimu kwa lugha ya Kiingereza isipokuwa kwa somo la Kiswahili. Pia shule inapokea watoto wa dini zote na kuwalea katika misingi ya kimaadili ya Kitanzania, wanafunzi wanapewa uhuru wa kuabudu katika madhehebu yao wakati wa vipindi vya dini.
B. MFUMO WA UFUNDISHAJI
Walimu wanafundisha kwa kutumia mfumo wa Kimontessori, mfumo unaomfanya mtoto aweze kujifunza kwa vitendo zaidi ili aweze kuhusisha milango ya fahamu. Hivyo shule inaendeshwa kwa kufuata misingi ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi.
C. MGAWANYO WA MAJUKUMU MZAZI / MFADHILI
Ni wajibu wako kulipa ada kwa wakati, bila kusababisha usumbufu kwa mtoto ili yeye atumie mda wake kusoma, kufuatilia maendeleo ya mwanao, kujenga ushirikiano na walimu pamoja na kumpatia mtoto mahitaji yale yasiyopatikana shuleni.
MWANAFUNZI
Ni wajibu wa mwanafunzi kusoma kwa bidii na kuuliza kwa mwalimu pale inapotokea hajaelewa vizuri ili aweze kupata wastani wa A au B pekee.
MWALIMU
Atawajibika kumfundisha mwanafunzi mpaka aelewe vema, kumlea kiroho, kiakili, kimwili. Pia atatakiwa kutuma taarifa ya maaendeleo ya mtoto kwa mzazi wake. Mwalimu atawajibika kumpa mzazi/mlezi taarifa ya mtoto wakati wote ikiwa inahitajika.
D. SHERIA ZA SHULE
Shule huendeshwa kwa kuzingatia miongozo, taratibu , kanuni,na sheria mbalimbali ambazo husaidia watoto kuwa na tabia nzuri wawapo shuleni. Zifuatazo ni sheria ambazo mzazi, mlezi na mwanafunzi anatakiwa kuzisoma na kuzielewa vizuri.
- Kiingereza ndio lugha ya mawasiliano muda wote mwanafunzi awapo
- Mwanafunzi atatakiwa kufuata ratiba ya shule muda wote awapo
- Mwanafunzi anatakiwa kujua jinsi ya
- Mwanafunzi anatakiwa kutunza mali zake, mali za shule na mazingira ya
- Mwanafunzi anatakiwa kuvaa sare za shule za heshima awapo mazingira ya shule na wakati wote wa ziara za
- Mwanafunzi haruhusiwi kuondoka eneo la shule bila
- Mwanafunzi anatakiwa kukaa mbali na eneo la jiko na maeneo yote ambayo ni
- Mwanafunzi atatakiwa kuheshimu watumishi wote wa shule, majirani, wanafunzi wenzake, na kila atakaye kutana
- Mwanafunzi atatakiwa kuheshimu bendera na wimbo wa
- Mwanafunzi hataruhusiwa kutunza fedha zaidi ya elfu tano bwenini, badala yake fedha zote za matumizi zitatunzwa kwa mhasibu wa shule.
- Mwanafunzi hataruhusiwa kumiliki simu wakati wote awapo katika mazingira ya
- Vitendo vya ukosefu wa nidhamu kama vile wizi, kumiliki simu, ulevi, makosa ya jinai, kupigana, uvutaji wa sigara, uasherati, ubakaji,kupata au kusababisha mimba, utoro, kukataa maonyo, kuchochea vurugu, kulala nje ya bweni na kusema uongo, vyaweza kusababisha mwanafunzi akafukuzwa
- Mwanafunzi wa bweni ataonana na mzazi katika siku ya kutembelewa iliyopangwa na
- Mwanafunzi wa bweni haruhusiwa kutoka nje ya shule isipokuwa kwa kibali
- Mwanafunzi wa bweni hataruhusiwa kukaa na chakula cha aina yoyote
- Darasa la saba wote watatakiwa kuwa bwenini muda wote wa masomo yao.
- Hairuhusiwi wazazi kuja na chakula siku ya kuwatembelea wanafunzi waishio bwenini badala yake wazazi watachangi chakula kwa shilingi 5000 kwa kila mtu atakayetakiwa kula chakula siku hiyo.
E. TAARIFA ZA MWANAFUNZI
MAJINA MATATU YA MWANAFUNZI…………………………………………………………………
TAREHE YA KUZALIWA……………………………………………….JINSI ………………………………….
MTAA ANAPOISHI…………………………………TARAFA…………………………………………..
WILAYA………………………………………………MKOA……………………………………………
SAINI YA MWANAFUNZI…………………………………………………………………………………
F. TAARIFA ZA MZAZI / MLEZI
MAJINA MATATU YA BABA………………………………………………………………………………
NAMBA YA NIDA……………………………………………………………………………………………
KAZI AIFANYAYO…………………………………………………………………………………………………
MTAA……………………………………………….TARAFA ……………………………………………………
WILAYA ……………………………………………MKOA………………………………………………………
NAMBA ZA SIMU………………………………………………………………………………………………….
MAJINA MATATU YA MAMA…………………………………………………………………………………..
NAMBA YA NIDA…………………………………………………………………………………………………
KAZI AIFANYAYO………………………………………………………………………………………………..
MTAA……………………………………………….TARAFA ……………………………………………………
WILAYA ……………………………………………MKOA………………………………………………………
NAMBA ZA SIMU…………………………………………………………………………………………………
G. KWA MATUMIZI YA OFISI TU
Darasa alilo andikishwa………………………………………………………………..
Tarehe ya kuandikishwa……………………………………………………………….
Namba ya kuandikishwa…………………………………………………………………………..
Maoni ya mwalimu mkuu………………………………………………………………………
H. MALIPO
- ADA
KUTWA | BWENI | |||
ADA | USAFIRI | ADA | BWENI | |
560,000/= | ILULA 400,000/= MAZOMBE 530,000/= MBIGILI 680,000/= LUGALO 680,000 /= VIWENGI 780,000/= IRINGA 820,000/= | 560,000/= | 1,100,000/= | |
|
|
2. SARE ZA SHULE
AINA | KUTWA | BWENI | |
MSINGI | AWALI | ||
Uniform za Darasani | 30,000/= | 25000/= | 30,000/= |
Track suit ya darasani | 20,000/= | 20,000/= | 20,000/= |
Sweta | 15,000/= | 15,000/= | 15,000/= |
T shirt | 15,000/= | 15,000/= | 15,000/= |
Uniform za kushindia( bweni) | 30,000/= | ||
Track za kushindia (bweni) | 20,000/= | ||
JUMLA | 80,000/= | 75,000/= | 130,000/= |
- MICHANGO MINGINE KWA WOTE
KUTWA | BWENI | ||
MSINGI | AWALI | ||
HUDUMA YA KWANZA | 25,000/= | ||
UMEME | 10,000/= | 10,000/= | 20,000/= |
VYOMBO VYA CHAKULA | 10,000/= | 10,000/= | 10,000/= |
TAHADHARI | 10,000/= | 10,000/= | 10,000/= |
MAJENGO | 10,000/= | 10,000/= | 10,000/= |
KITABU CHA MATOKEO | 10,000/= | 10,000/= | 10,000/= |
MTIHANI DARASA LA NNE | 50,000/= | ||
MTIHANI DARASA LA SABA | 50,000/= | ||
MCHANGO WA KUFULIWA NGUO | 100,000/= | ||
| 50,000/= | 50,000/= | 285,000/= |
I. MGAWANYO WA ULIPAJI WA ADA TU
AWAMU ZA ULIPAJI | MWEZI | KUTWA | BWENI | |
MSINGI | AWALI | |||
Awamu ya kwanza | Januari (Kabla ya Tarehe 09/01/2022) | 370,000 | 365,000/= | 830,000/= |
Awamu ya pili | Aprili (Kabla ya Tarehe 17/04/2022) | 240,000/= | 240,000/= | 415,000/= |
Awamu ya tatu | Julai (Kabla ya Tarehe 17/07/2022) | 240,000/= | 240,000/= | 415,000/= |
Awamu ya nne | Septemba (Kabla ya Tarehe 25/09/2022) | 240,000/= | 240,000/= | 415,000/= |
JUMLA | 1,090,000/= | 1,085,000/= | 2,075,000/= |
Malipo yote yafanyike benki au kwa mawakala wa CRDB (cash hazikubaliki) kutumia akaunti ifuatayo: WANAFUNZI WA AWALI – JINA LA AKAUNTI NI ‘ILULA ORPHAN PROGRAM’ – “0150242843914” NA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI – JINA LA AKAUNTI NI ‘ILULA ORPHAN PROGRAM’ – “0152242843905”
NB: TAFADHALI, ANDIKA “MAJINA KAMILI LA MWANAFUNZI” KWENYE KARATASI YA MALIPO.
J. MAHITAJI MENGINE KWA MWANAFUNZI WA BWENI
Mwanafunzi aje na mahitaji yafuatayo:
- Passport mbili
- Nakala ya cheti cha
- Godoro ( futi mbili na nusu)
- Mashuka mawili ya
- Net moja ya pembe
- Blanket lisilozidi kilo
- Kindoo na kikombe kwa ajili ya
- Kikopo cha
- Koti jeusi lisilo na
- Pluneck (kabashingo)yenye rangi ya
- Mzura (kofia ya nyuzi ) wenye rangi ya
- Mwanafunzi awe na jezi yoyote ya bluu.
- Raba nyeupe, viatu vyeusi na ndala.
- Begi la kuwekea nguo.
- Tranka la kuwekea vifaa vyake
- Sabuni kuanzia miche mitatu na yaunga.
- Vifaa vyote vya darasani yaani daftari, peni, penseli, kichongeo, ufutio,
- Begi la kuwekea
- NI LAZIMA Kila mwanafunzi aje na bima ya
NB:
1. HAKIKISHA KILA KIFAA CHA MWANAFUNZI KIMEWEKWA ALAMA.
- KILA MTOTO AJE NA RIMU
v Wanafunzi wa bweni wote wafike siku ya JUMAMOSI yaani siku mbili kabla ya shule kufungua.
- Fedha zote za matumizi ya mwanafunzi zitakabidhiwa kwa mhasibu au Makamu mkuu wa shule Siku ya kuripoti
- Aidha wanafunzi wanaosuka watakiwa kukabidhi shilingi 64,000/= kwa muhula ili aweze kusukwa nywele kwa miezi
- MICHANGO YA MAHAFALI NA ZIARA UTAJULISHWA KILA ITAKAPOPANGWA.
- DUKA LA SHULE LITAHUDUMIA WANAFUNZI KWA MAHITAJI MADOGOMADOGO, BAADHI YA MAHITAJI YATAPATIKANA KATIKA DUKA LA SHULE KWA BEI ZILE ZILE ZA KWEYE MADUKA YA KAWAIDA.
KARIBU SANA SHULE YA AWALI NA MSING SUNFLOWER
Contacts
Edson Msigwa
Managing Director
Phone: +255 767 337 763
Email: Edson.Msigwa@ioptanzania.org
Berit Skaare
Founder of IOP
Phone:+255 763 087 911
Email:Berit.Skaare@ioptanzania.org
Ilula Orphan Program (IOP)
P. O Box 151 Mazombe, Iringa,Tanzania
Email: post@ioptanzania.org